Rotaract Club
Berlin-Brandenburger Tor
Home | Was ist Rotaract? | Unser Vorstand | Programm | Kalender |
soziales Engagement | Clubgalerie | Mitglieder | Links
Presse | Kontakt |
Impressum

  

Berlin Ni Mji Mkuu
Sisi Ndio Kilabu


Kilabu cha Rotaract Berlin-Brandenburger Tor ni mmojawapo wa vilabu tatu vya Rotaract na pia cha kwanza katika "Neue Mitte" mji mkuu wa Ujerumani-Berlin. Kilabu hiki kilianzishwa na kilabu cha Rotary  Berlin-Brandenburger Tor na Mtawala Bwana  Pähne tarehe 6 mwezi wa tatu mwaka wa 2003. Wanachama wetu ni wanafunzi na wafanyikazi katika mji mkuu-Berlin.

Jina la hiki kilabu ni heshima na wajibu pamoja. Tupo na  furaha kujishidia jina maalum linalofahamika kuwa alama ya Ujerumani na ya mdhamini wetu Rotary,  kwa hivyo mikutano na miradi yetu hufanyika karibu na lango la Bradenburg (Brandenburger Tor).

Wanachama wetu wamejitolea kwa makini kujihushisha na miradi ya jumuia; wanamatarajio ya kueneza ujuzi wao katika sehemu za utamaduni, siasa na sayansi. Tupo na lengo la urafiki kati yetu na tunatarajia kuishi  na wazo wa "Rotarian" kwa hivyo twajitolea kuwa sehemu ya familia ya "Rotarian"

Uwapo na nia ya kujua zaidi kuhusu kilabu chetu, tafadhali twandikie kupitia barua pepe bbt @ rotaract.de. Umekaribishwa kujiunga na sisi kwa mikutano yetu. Pata maelezo zaidi kwa tovuti (website) yetu.

Kwa kawaida mikutano yetu hufanyika katika "Café Neu", angalia kwa "Unser Programm" iwapo kuna mabadiliko ya pahali pa mkutano. "Café Neu" ipo katika Oranienburger Straße 32, Berlin-Mitte. Unaweza fika hapo kwa treni “S-Bahn“ kituo cha "Oranienburger Straße". Pia waweza kutumia basi "Tram" nambari M6.

 

 

 

 Wir danken Daniel Ngugi aus Kenia für die Übersetzung nach Swahili. Daniel ist Gast und Botschafter unsers Clubs.